Tume ya Polisi Mjini Cleveland (Cleveland Community Police Commission, au CPC) ingependa kusikia mawazo ya jamii ya Cleveland

 

  • Ukiona polisi wakiwa na tabia isiwe mwafaka, jaza fomu ya lalamiko na Cleveland Office of Professional Standards (ofisi ya kiwango cha utaalamu mjini Cleveland), au OPS, wa kutumia fomu hii au kwa kutuma barua pepe kwa [email protected]
  • Tume ya Polisi Mjini Cleveland itakutana muda siyo mrefu kujadilia maandamano ya wikiendi iliyopita na tunataka kusikia mawazo yenu. Ukiwa na picha au hadithi kuhusu uzoefu wenu kwenye hayo maandamano, tunaomba ututumie katika barua pepe kwa anwani ya [email protected]
  • Pia tunaomba ufuatilie habari zetu kwenye mitandao ya kijamii ya Facebook na Twitter au ujiunge na jarida letu ya CPC. Muda huu ni muhimu sana kuangalia usalama wa polisi na kuhakikisha tabia zao ziwe mwafaka.