Namna ya Kuomba Msaada

  • Angalia orodha ya hati na karatasi zinazohitajika na uanze kuzikusanya kablya hujaomba msaada. Orodha inapatikana hapa.

Chagua lugha yako na fuata links zifuatazo kuanza ombi lako:

 Omba Hapa | Kiingereza   Omba Hapa | Kihispana

  • Hakikisha kwamba maarifa yako yote kwenye ombi ni sahihi. Ukiwa na maswali, pigia simu nambari hii: 833-377-RENT (7368)
  • Baada ya kumaliza ombi lako, mfanyakazi wa sherika letu atakupigia simu
  • Usipoweza kuomba mtandaoni, unaweza kupakua na kuchapa karatasi za ombi. Ukishamaliza, tuma ombi lako ulilojaza kwa ofisi yetu. Anwani yetu ya barua ni: Rent Help Dropbox, 2999 Payne Ave, Suite 134, Cleveland, OH 44114

Pakua hapa .pdf | Kiingereza

Msaada huu ukoje?

  • Sherika la CHN ni namna ya kwanza kwa watu kupata msaada wa kulipia kodi za nyumbani, au rent kwa kiingereza. Kuendana na changamoto zako na mahitaji yako, inawezekana itaambiwa kupata msaada kutoka programu ya EDEN ambayo ni programu ya msaada wa muda mrefu. Ukifanya programu ya EDEN, utahitaji kuonyesha hati zaidi.
  • Ukiweza kupewa msaada huu wa CHN, inawezekana utalipiwa kodi za nyumbani ya miezi mitatu kabla ya hujaanza kupata msaada.
  • Sherika la CHN itaangalia programu zingine za misaada unazozitumia kusaidia na billi za umeme, maji ya moto, gesi, na maji/maji machafu

Nani anaweza kuomba?

  • Mtu yeyeote anayeishi mjini Cleveland au wilaya ya Cuyahoga ambaye amepata changamoto kulipia kodi za nyumbani wakati huu wa janga la COVID-19 na pia mshahara wake ni mdogo.
  • Ukipata msaada kutoka kwa CHN, inawezekana utahitaji kuonana na mshauri wa kifedha.
  • Vipaumbele vinaendana na changamoto zako za kulipia kodi za nyumbani na kama ombi lako limejazwa vizuri na sahihi.