Daktari au ofisi itahitaji kuhakikisha kitambulisho chako, jina lako, na umri wako.
Siyo lazima kuonyesha uthibitisho wa uraia wako
Kitambulisho chako kitafaa hata kama kimepita tarehe yake ya mwisho au kama kinatokea jimbo au nchi nyingine
Aina za vitambulisho zinazofaa ni zile zifuatazo :
- Kitambulisho cha udereva au kitambulisho chenye picha yako
- Kitambulisho cha ujeshi
- Rekodi ya udaktari pamoja na chanjo ambazo ulishapewa
- Rekordi ya sensa
- Rekordi ya wazazi walezi
- Cheti cha uraia
- Cheti cha kuzaliwa
- Kitambulisho cha ubalozi
- Passporti
- Kitambulisho cha ukaaji
- Ombi la kupata cheti cha uraia
- Fomu zinazotoka Idara ya Jimbo
- Rekordi ya ujeshi
- Cheti cha kuzaliwa nje ya nchi ya Marekani